Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla.
The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa zaidi, nyimbo zake ziko professional sana. Mpaka sasa hakuna Rapa mkali kama FID Q, hao wengine wana...