Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki.
Raphael alikuwa mshauri wa karibu wa ndugu Zitto kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wake...