raraa reree

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    Mwanamke akikuambia hayuko teyari kuzaa kwa sasa huyo sio wako piga chini haraka anaekupenda atakubebe mimba fasta ili asikupoteze

    Ndugu zangu. Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
  2. Eli Cohen

    Jana wamempa sifa ndugu raraa reree. Basi leo pia tumpatie sifa zake bwana min-me

    Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani. Leo pia nimpatie maua yake min -me Hapa chini ni min me akiwa amejituliza baada ya siku nzito ya kupeana likes...
  3. Teslarati

    Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
Back
Top Bottom