ras mtimanyongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ras Mtimanyongo: 2030 ataibuka Magufuli mwingine haijalishi chama atakachotokea lakini atashinda!

    Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya...
  2. J

    Ras Mtimanyongo: Zitto yuko sahihi Wanasiasa wadai Tume huru ya Uchaguzi, Katiba Mpya itadaiwa na Wananchi pale itakapohitajika

    Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie. Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi. Maendeleo hayana vyama!
  3. J

    Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

    Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale. Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu...
Back
Top Bottom