Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani
Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya...