Ninavyofahamu Tanzania ndio nchi iliyobarikiwa kila aina ya Rasilimali hapa duniani na tunategemewa na nchi mbalimbali
Sasa Nimeshangaa sana kumsikia Rais Ruto akitamba Kwamba wao Kenya ndio wamebarikiwa Rasilimali na inategemewa na Congo, South Sudan, Somalia na EU
Lucas una lolote la kusema? 😀
Duniani tunapita hakuna kitakachobakia siku zote watu wema hawana maisha ukiamua kujitolea ujue maisha yako ni mafupi.
Wengi wanaachia mbuzi kula kwa urefu wa kamba kwa kuogopa kufupisha maisha watu waovu huishi maisha marefu ili wapate kuja kuhadithia yale mema ya watu wema waliyoyatenda watu...
Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake.
Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
ccm
governance23
katiba
katiba mpya
katiba mpya ccm
katiba mpya tanzania
kuuza mali za umme
mali za umma
mpya
rasilimalirasilimalitanzania
siasa
tanzania
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
baada
bado
dini
kuliko
masikini
matumizi mabaya ya madaraka
miaka
rasilimalitanzaniatanzania
ufisadi tanzania
uhuru
umasikini tanzania
usomi
wakristo
wao
wapi
wasomi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.