rasilimali watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  2. R

    SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  3. B

    SoC04 Uwekezaji katika Miundombinu, Sarafu, Rasilimali watu n.k

    TANZANIA TUITAKAYO Black Author Utangulizi Dira halisi ya maendeleo ya taifa lolote linaloendelea,na lililoendelea katika mipango yake,huzingatia sana mambo mawili yafuatayo,Kwanza,ni nadhari na la mwisho ni vitendo ili kuifanya nadharia kuwa hai,viongozi Kwa ushirikiano,huweka mipango Yao ya...
  4. Kuteua Watu walewale ni dalili kuwa nchi haina Rasilimali Watu

    Habari za Sikukuu ya Pasaka! Moja ya dalili kubwa kuwa taifa fulani halina rasilimali Watu ni kwa kuangalia safu ya viongozi na watawala. Ukiona Watu wanaoteuliwa ni walewale yanaitwa miaka nenda rudi Watu ni walewale basi sababu kubwa ya jambo hilo ni kuwa nchi Hiyo haina Rasilimali Watu...
  5. R

    Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  6. Mbunge Aisha Ulenge: Rasilimali Watu Wanawake Waingie Kwenye Tasnia Zenye Wanawake Wachache Ili Jinsia Zote Zishiriki Katika Maendeleo Endelevu

    MBUNGE Aisha Ulenge Amesema Rasilimali Watu Wanawake Waaingie Kwenye Tasnia Zenye Wanawake Wachache Ili Jinsia Zote Zishiriki Katika Maendeleo Endelevu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge Amesema tunapokwenda kuzalisha Rasilimali watu na kuilea Rasilimali...
  7. Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

    Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
  8. SADC yajadili umuhimu wa rasilimali watu na fedha katika maendeleo ya viwanda

    Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Julai 2023, litakuwa sehemu ya utekelezaji wa kaulimbiu ya Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaondelea Jijini Luanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…