Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
haki jinai
haki za walemavu
maslahi ya taifarasilimalizataifa
rushwa kwa wanahabari
tume huru ya taifa ya uchaguzi
tume huru ya uchaguzi
uchumi imara
uchumi jumuishi
utawala bora
Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa wingi wa mali asili zinazojumuisha madini, misitu, wanyamapori, ardhi yenye rutuba, na vyanzo vya maji. Kwa miaka mingi, mali hizi zimekuwa zikivutia wawekezaji kutoka nje ya nchi huku wananchi wakibaki bila kunufaika ipasavyo. Ni wakati mwafaka sasa...
Tumepewa Maneno mengine na maushahidi:
1. Eti bandari zote kapewa/Kauziwa mwarabu wa Dubai?
2. Eti misitu hecta 80,000,000 ameuziwa mwarabu wa Dubai kuvuna hewa ya ukaa?
3. Eti mbuga za wanyama zote wameuziwa waarabu na wakazi wa mbugani wamasai wamefurushwa?
3. Eti sehemu ya bahari na madini...
Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya
27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani...
Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu...
Utangulizi
Rasilimali za taifa ni tunu muhimu ambazo zinapaswa kutumiwa kwa manufaa ya wananchi wote. Kwa miongo mingi, suala la uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa limekuwa likikumbwa na changamoto nyingi, zinazosababisha wananchi kushindwa kunufaika ipasavyo na utajiri...
Asalam,
bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi na Esta hapa?
Uhuru wa Kisiasa
Uhuru wa kisiasa ni uhuru ambao watu binafsi wanao kushiriki...
Kila mtu anajua kabisa kuwa hawa waliopo Bungeni, ni wahalifu, hawakuchaguliwa na wapiga kura. Je, ni halali wahalifu wa kupora haki za wananchi za kuwachagua wawakilishi wao kupitia boksi la kura, kufanya maamuzi juu ya rasilimali za Taifa?
Mwizi haachi asili yake. Hawa waliopo bungeni ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.