Watanzania serikali imetoa rasimu ya sera ya elimu, ili kila mmoja wetu atoe maoni yake, sasa badala ya kuisoma tunakimbilia kutoa lawama lukuki.
Hiyo ni rasimu imetolewa ili kila mmoja atoe maoni sasa tutoe maoni yetu tunatakaje, nasoma maoni ya wengi ni kulaumu tu, hiyo sio sawa.