Salaam, Shalom!
Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,
Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,
Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya...