Kundi la wapiganaji TWIRWANEHO, huko Kivu kusini, limetangaza rasimi kujiunga na kundi la AFFC/M23.
Baada ya kifo cha aliekuwa kiongozi wa kundi hilo, General Michael RUKUNDA, AKA MAKANIKA, kwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya serikali, lililoondoa uhai wake, uongozi wa kundi hilo kwa sasa...