Nafanya biashara za nafaka na mazao, Nina shamba na mifugo, nina duka na gari za mizigo, nimeajiriwa kama mwalimu wa serikali nk.
Nina ujuzi mkubwa Tu na experience ya miaka mingi kwenye Dunia ya pesa,Shughuli zote nilizotaja nimerithi kutoka kwa marehemu mzee Wangu kasoro ualimu...