rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  2. Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia 27 - 29 Novemba, 2023

    📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 . #CCMImara #VitendoVinaSauti #KaziIendelee
  3. M

    Israel yakasirishwa na Uhispania na Ubelgiji baada ya nchi hizo mbili kusema zitatambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Nov 25, 2023 11:03 UTC Netanyahu na mawaziri wakuu wa Uhispania na Ubelgiji Mvutano umepamba moto kati ya utawala haramu wa Israel na Uhispania na Ubelgiji, nchi mbili za Ulaya ambazo mawaziri wake wakuu wamelaani mashambulizi yaliyosababisha uharibifu mkubwa ya utawala huo dhidi ya watu wa...
  4. Wananchi kuteleza sio kuanguka mnao uwezo mkubwa wa kubadili mambo, belouzdad wamewaamsha rasmi!

    Naweza kusema kwenye mpira uwa Kuna siku mbaya kazini Kila kitu kinaweza kwenda tofauti na mipangilio ya siku zote, na Jana yanga walikuwa na siku mbaya kazini! Timu ili icheze vizuri inatakiwa Kila mchezaji awe timamu kimwili na kiakili na Kila mchezaji atimize majukumu yake ipasavyo lakini kwa...
  5. FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  6. M

    Soma hii upate mawili matatu: Jinsi graduate nilivyojikwamua na kuingiza milioni 10 nje ya ajira

    ...
  7. Hivi wachezaji wanawezaje kuingia uwanjani bila utaratibu rasmi (kuruka ukuta) lakini mashabiki hawawezi?

    Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani. Maswali...
  8. RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

    Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE. D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
  9. Dkt. Mwamwaja: Ni 53.8% tu ya nguvu kazi ndio wanatumia Huduma rasmi za Fedha

    Kamishna wa Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akionesha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha, wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ulioangazia Maadhimisho ya Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imekusudia kuhakikisha Wananchi wengi...
  10. Colorism ni saratani isiyotambulika rasmi lakini imeenea sana kwenye jamii

    For the benefit of all those in Rio Linda 🤣, let’s begin by defining what colorism is; differential treatment based on skin color, especially favoritism toward those with a lighter skin tone and mistreatment or exclusion of those with a darker skin tone, typically among those of the same racial...
  11. M

    Kwa hii ngoma ya msanii Diamond iitwayo Pound and Dollars ni rasmi ameanza kurudi kwenye Muziki mzuri

    Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
  12. KADCO Yakabidhi KIA Rasmi Mikononi mwa TAA

    UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia Makabidhiano kati ya KADCO na TAA baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa ridhio la Uwanja wa Ndege...
  13. Ni rasmi sasa Diamond Platnumz ni "Copycat" wa Asake.

    Hapa kashirikishwa na G-Nako, wimbo unaitwa Komando, ila melody za Diamond zinafanana 90% na wimbo wa Amapiano aloimba Asake. Sikiliza kisha ufanye conclusion mwenyewe kama Diamond anasingiziwa ama laah.. https://youtu.be/l_-v1fNdSHs?si=xcfiDZLAofP63utF...
  14. TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  15. Mbingu na ardhi vimejitenga rasmi, kelele nyingi na propaganda uchwara avichezi mpira uwanjani!

    Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona! Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
  16. U

    Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

    Wadau wote Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo. Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon Karibuni tupeane maarifa Sabato njema Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
  17. D

    TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
  18. Utoroshwaji wa dhahabu Wilayani Chunya nini kifanyike?

    Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya. Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi. Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
  19. Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili

    Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili ==== Pia soma: Danadana za Serikali kwenye kuanza kutumika kwa Treni ya SGR kipande cha Dar - Moro, nini kinaendelea pande hizo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…