Nimejaribu kuhudhuria sherehe mbali mbali kwa miaka kadhaa; sherehe za mashule, vyuo, mambo ya ujenzi n.k
Na katika hizo sherehe nimeona tofauti kubwa kwa wale wageni rasmi, wanaopewa nafasi hizo.
Katika risala, huwa kuna kipengele cha kuelezea changamoto walizonazo, na zinazoitaji utatuzi...