rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

    Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
  2. SoC04 Suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira rasmi kwa vijana

    SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA. Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini ndio lengo kuu.Pia inachochea maendeleo kwa taifa kuajiri vijana wenye ufahamu wa ujuzi mpya...
  3. RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

    Wadau wa Soka Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano. Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾
  4. SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  5. Waziri Masauni: Tutaanza kuhoji wakimbizi kutoka Burundi kwanini wanasita kurejea nyumbani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Mwakilishi wa Serikali ya Burundi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Maendeleo ya Jamii na Usalama wa Raia, Theofile Ndarufatiye (kulia), wakibadilishana Nyaraka ya Makubaliano ya Utaratibu wa Urejeaji wa Wakimbizi wa Burundi...
  6. DP World yakabidhiwa rasmi Bandari ya Dar es Salaam

    Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la mizigo inayohudumiwa. Hiyo ni baada ya baadhi ya wamiliki wa migodi kutoka nchi jirani pia kuonyesha nia...
  7. Rasmi Lomalisa amalizana na Yanga anaenda kucheza soka Uarabuni kuanzia msimu ujao

    Beki huyo wa kushoto wa Yanga amemalizana na klabu yake hiyo baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023\2024 Ambapo uongozi wa Yanga walitaka kumpa mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini Lomalisa aliomba kuondoka klabu hapo nakwenda kutafuta changamoto mpya. Lomalisa ambaye amecheza kwa mafanikio ndani...
  8. Rasmi Jose Mourinho atambulishwa kuwa kocha wa Fenerbahce

    Zaidi ya mashabiki 1,000 wa Fenerbahce wameshiriki katika mapokezi ya kocha wao mpya, Jose Mourinho wakati akitambuliwa kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Jijini la Istanbul. Kocha huyo amerejea katika majukumu hayo ikiwa ni miezi mitano tangu alipofukuzwa katika Klabu ya Roma ya Italia Baada ya...
  9. Rasmi wanajeshi wa Israel waingia Rafah mjini kati

    Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira... ================== Several Israeli tanks have...
  10. Leo rasmi ligi kuu ya NBCPL inamalizika, mechi ipi utaitazama zaidi?

    Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao ndiyo wanao wanao wania nafasi hiyo lakini vita nyingine ni ya mfungaji bora kati ya Aziz Ki wa...
  11. Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  12. Mshangao: Imekuwaje Rais Ruto awe Rais wa kwanza kutoka Afrika kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani?

    Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita. Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
  13. M

    Nilikua namuunga mkono Makonda. Kwa kumdhalilisha mke wa jamaa yangu jana sasa najitoa rasmi, aendelee na kiburi chake na hatokuja kuwa rais wa nchi

    Wakuu, Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3. Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida. Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake. Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya? Sasa...
  14. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Uvuvi Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mujibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Mheshimiwa Abdallal Ulega Amesema ya kuwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mgeni Rasmi wa mkutano wa uvuvi Barani Afrika. Ameyasema hayo na kutoa taarifa hiyo...
  15. D

    Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi...
  16. Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

    Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando. Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru. Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae...
  17. Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  18. Kitabu cha GIANTS: Be that top 1% kimetoka rasmi

    GIANTS: Be that top 1% NAKALA YA KITABU HIKI YAPATIKANA KWA 9,000 TU kwa Hardcopy na kipo kwa lugha ya kiingereza. 0628556739 piga au tuma messeji Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu Hili ni andiko adimU ambalo pengine litafutwa mtandaoni maana majitu yenye akili na yanayotawala kila...
  19. D

    Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Humu unaweza kujitoa mwenyewe sadaka au kumtoa mwingine wa Karibu. Ila kikubwa ni kiapo Cha damu kisha unakabidhi nafsi.
  20. D

    Rasmi harakati za kuijenga Simba upya zaanza.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…