rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba kukaribishwa rasmi leo

    Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
  2. J

    Pre GE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
  3. Baada ya kuwa msomaji miaka takribani 6 sasa nimejisajili rasmi JamiiForums

    WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia...
  4. Badoo ni danguro rasmi la biashara ya umalaya Tanzania.

    Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango kikubwa cha wanaume ambao wapo na programu hizi kwenye simu zao wanatafuta makahaba. Mwezi ulioisha...
  5. Salim Kikeke ajiunga rasmi na Crown FM & TV

    Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba. Hii ni baada ya Alikiba kusasisha video inayoonyesha Salim Kikeke akikataa kupokea simu ya Wacha Fu FM inayotafsiriwa kuwa ni...
  6. Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

    Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha. Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine...
  7. Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

    Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Pia soma: Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ----...
  8. A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  9. B

    No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
  10. Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana. Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina. Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?
  11. Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran

    Oil and gold prices have eased after Iranian authorities appeared to downplay reports of an attack from Israel. Brent crude, the international benchmark, fell after jumping briefly to over $90 a barrel after reports emerged of an attack. Gold briefly came close to a record high before settling...
  12. Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema. N:B Maisha ya ndoa mtu...
  13. Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye...
  14. Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

    Bayer 04 Leverkusen Wameitandika Werder Bremen 5 -0 na kutwaa ubingwa . Game imeisha .
  15. M

    Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym. Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
  16. Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za instagram zimepost kuonesha kumkaribisha nguli huyo wa vipindi vya TV na Radio. Wiki chache zilizopita...
  17. Nakaribia Kujiuzuru rasmi Kuizungumzia Simba SC yangu kwa Nguvu zangu zote hapa JamiiForums, kwani imeshanichosha sasa

    Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi...
  18. Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi...
  19. Jeshi la Ardhini la Israeli IDF limeshindwa kuwakomboa Mateka Rasmi

    Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023. Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je...
  20. Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…