rate

  1. Carlos The Jackal

    CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  2. State Propaganda

    Ukraine has the lowest birth and highest mortality rate than any other country in the planet

    Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo. Hakika hata kama vita itaisha, Historia ya Ukraine itamkumbuka na kumlaani vibaya sana...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    U.s federal reserve walipunguza interest rate september ambapo kutapelekea kuongezeka kwa dollar cha ajabu sifa anapewa mafuru

    Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje Hii ni habari ya september The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
  4. E

    SoC04 Tanzania wa want: Decrease of unemployment rate

    INTRODUCTION: As a developing country and one of the peripheral states in the world, Tanzania has so many areas to improve in order to boost economic development and improve the welfare of the Tanzanians. Despite having several rich areas and unique natural resources that can be transformed...
  5. P

    Salary rate ya Fair Competition Commission ipoje?

    Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
  6. Artifact Collector

    U.S Federal Reserve wakiadopt expansion monetary policy uhaba wa dola uliopo dunian utaondoka

    Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation Madhara ya contraction monetary policy Kuongeza riba ya...
  7. peno hasegawa

    Exchange rate ya Us$ leo tarehe 26.7.2023 kwa Tsh Tafadhali?

    Mwenye jibu nina liomba tafadhali?
  8. SatCitAnanda

    Proving the Bible (2): Radioactive Dating

    Makala Iliyopita: Baada ya kuona kuwa Carbon-14 inathibitisha umri mdogo wa Dunia kwasababu ya: 1) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye mabaki yaliyo kwenye miamba inayodaiwa kuwa na mamilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo). 2) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye makaa ya mawe yanayodaiwa kuwa...
Back
Top Bottom