Kutoka Dom treni ya kwanza saa 11:15 alfajiri halafu baada ya hapo kuna moja ya kitajiri saa 2 asubuhi ambayo haiendani na uwezo wa wateja, mara nyingi haijai except peak demand. Utasubiri mpaka saa nane ndio upate ordinary train.
Swali langu ni kwa nini kusiwe na ordinary train kwenye saa 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.