Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu?
Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na...