Tume ya Uchaguzi (NEC) imesema Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Buhigwe utafanyika Aprili 30. Jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wake kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Kwa mujibu wa ratiba ya NEC, Kampeni za Buhigwe na Muhambwe ambapo pia pako wazi baada ya kifo aliyekuwa Mbunge wake...