“Je, umekasirishwa na vita vya Gaza? Mimi pia nimekasirishwa Naitwa Raman Rawan Osman Mimi ni Mshami nusu, nusu Lebanon Tangu Oct 07,2023 nilitembelea Israeli mara tisa na ninataka kushuhudia mbele za Mungu na mbele zako kuwa- Israeli sio Tatizo.
Wiki iliyopita Israel ilimzika Shiri Bibas na...