ray vanny

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

    Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata kushinda Diamond mwenyewe na amekuwa akiwahamasisha wengi kufanya uwekezaji! Lakini mara nyingi inasemwa...
  2. D

    Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

    Najiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu. Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na basata alilipa...
  3. U

    Rosa Ree "Mimi Ndio Rappa bora Africa Nzima Kwa Wanawake na Wanaume"

    Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora Afrika tena kiujumla. "I AM THE GODDESSSSS! 👑. Hakuna rapper ambaye ananizidi Africa nzima...
  4. Nyimbo bora kwa kipindi cha muongo mmoja Tanzania

    1. Harmonize -Atarudi 2. Harmonize -Sina 3. Harmonize - Mpaka kesho 4. Ibraah - Mapenzi 5. Rayvanny - Naogopa 6. Alikiba - Utu 7. Jux - Utaniua 8. Harmonize - Niambie 9. Harmonize - Never Give Up 10. Aniseti Butati - Usinikumbushe Kabla hujakosoa nikuombe kazisikilize halafu njo unipe hongera...
  5. Ray Vanny aongeze umakini la sivyo atatenda dhambi kubwa sana

    Sio kwa ubaya ni ushauri tu. Harmonize ilimshinda, Ray Vanny naye awe makini kidogo. Ni hayo tu.
  6. Si sawa kuwapambanisha Harmonize na Ray Vanny

    Baba ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZE) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi). Kuwafananisha hawa watoto sio sawa kwa vyovyote Yule anayejitegemea kimaisha ndio mwenye akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…