Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.