Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) taifa limeeleza masikitiko yake makubwa juu ya kauli iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliyesema kuwa, “Wajawazito wasiotaka kununua glavu wakajifungulie nyumbani.”
Kauli hiyo iliyotolewa wakati wa mkutano na wananchi wa Temeke...
Watu wa Dar mko wapi?
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amezungumzia namna ambavyo watu wengi wa Dar wanapenda na kutaka kumiliki ardhi.
Chalamila amesema kuwa kiuhalisia sio kila mtu anaweza kumiliki ardhi na badala yake kuwe na utaratibu wa watu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu...
Gazeti za jana zimesikitisha sana kwa yanayoendelea pale Kariakoo.
RC wangu, wakati doll ikikagua yale majina, nikujuze tu kuwa mamlaka yako inaruhusiwa kuwaondoa viongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo mapema.
Kumekuwa na kama dili za ajabu, soko likiungua viongozi wanafikiri ndio sehemu ya...
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?
Alifikaje ?
Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana vyeti na safisha ya JPM haikula hata 30% ya waliofoji.
Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo.
Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka nayo, itakuwa siyo nchi. Mtu wa tume akikosea atawajibishwa na nani? Hakuna uhuru usio na mipaka...
Jiji la Dar es salaam linahitaji Viongozi aina ya Albert Chalamila wanaosema na kutenda siyo hao mapapaa.
Sisi Wahenga tunaupokea Uteuzi wa Rais Samia kwa mikono miwili.
Na yeye Chalamila akitaka kuleta za kuleta tunamzingua vile vile.
Karibu sana mwagito!
Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu.
Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila?
Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.