rc chalamila dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Naibu Waziri Godwin Mollel amuunga mkono Chalamila kuhusu wajawazito: Unakuta mtu hana bima lakini anachangia Milioni kwenye harusi!

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akijibu swali la Mbunge wa viti Maalumu, Anatropia Lwehikila Theonest amezungumzia kauli ya RC Chalamila akisema: "Suala alilozungumzia ni nyeti mno, suala la akina mama na mambo mengine ya dharula tunatoa maelekezo mahususi kwanza moja kwa hospital za...
  2. J

    RC Chalamila: Rais Samia ndiye ameruhusu Mtume Mwamposa aendelee kuwepo hapa Kawe, tuzidi kumuombea asije tokea Rais mwingine asiyemjua Mungu!

    Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe "Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie aendelee kubakia hapo Kawe na kuwaponya Watanzania, hivyo tuzidi kumuombea Ili asije kutokea Rais...
  3. J

    RC Chalamila awataka wakazi wa DSM wajilinde Wao na familia zao dhidi ya matukio hatarishi badala ya kuwatupia Polisi lawama

    Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewataka wananchi wa DSM kujilinda wao na familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha Amani na Usalama wao RC Chalamila amesema SI HAKI kuwatupia lawama Polisi kwa kila Jambo. --- Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka...
  4. Pdidy

    Mkuu wa Mkoa Dar wapige chini baadhi ya Viongozi wa mashirika Soko la Kariakoo

    Gazeti za jana zimesikitisha sana kwa yanayoendelea pale Kariakoo. RC wangu, wakati doll ikikagua yale majina, nikujuze tu kuwa mamlaka yako inaruhusiwa kuwaondoa viongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo mapema. Kumekuwa na kama dili za ajabu, soko likiungua viongozi wanafikiri ndio sehemu ya...
  5. J

    RC Chalamila awa kama Gachagua wa Kenya, aongea kwa upole na Wamachinga wa Simu 2000 na kutuliza mgomo na kuwataka Meya na DC wawe wasikivu kwa Jami

    Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa...
Back
Top Bottom