rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 RC Chalamila: Simameni imara kumwombea Rais wetu, huwa inaniuma sana viongozi wa dini kusemana

    RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam usiku huu.
  2. Pre GE2025 Wakili Dickson Matata: Kauli za RC Chalamila ni zao la uongozi mbovu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba za nchi kutokana na sheria hizo kuwa na mapungufu ambayo yanasababisha viongozi hao kutowajibishwa...
  3. Pre GE2025 RC Chalamila atangaza uuzaji viwanja Mabwepande-Kinondoni

    sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Kufuatia maelekezo ya Rais wa...
  4. Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  5. Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  6. Pre GE2025 Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali. Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
  7. LHRC: Chalamila achuliwe hatua za kinidhamu kwa kauli ya kutweza utu wa Mwanamke

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kutokana na kauli yake anayodaiwa kuitoa hivi karibuni ambayo wamedai kuwa inatweza utu wa...
  8. F

    Kuhusu hatma ya RC Chalamila na kauli zake chafu dhidi ya wanawake wajawazito tusubiri ugeni uliopo Dar uondoke

    Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati. Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
  9. E

    RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  10. Nasimama na Chalamila mimba sio dharura. Miezi tisa ulitakiwa kujipanga

    Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi. Weka hata buku kila siku, Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja. Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
  11. RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  12. Dar: Morocco na Mwenge kujengwa barabara za Juu. RC Chalamila ataka kazi ifanyike Mchana na Usiku

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema. Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...
  13. VIDEO: RC Chalamila akicheza na Simba bila uoga, unaweza kujaribu?

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
  14. RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

    https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa . Kumbuka...
  15. RC Chalamila: Hajatekwa, amejipoteza mwenyewe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye sherehe za kuweka Wakfu jengo la Ibada la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni, leo Disemba 15, 2024. "Mkoa wa Dar es Salaam uko salama, hizo habari zinazosambaa za mtu kutekwa sio za kweli na hivi karibuni mtasikia wenyewe...
  16. RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es...
  17. RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema...
  18. LGE2024 RC Chalamila: Jitokezeni kupiga kura tuepuke siasa za chuki

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza na wanahabari leo, Jumatatu Novemba 25.2024 ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo waliojiandikisha kwenye daftari la mkazi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaowataka. Sambamba...
  19. RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  20. LGE2024 Huu mpango RC Chalamila una lengo gani?, "Nipe Kura moja, nikupe siku tatu za Bata"

    Wakuu Huu mpango wa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam una lengo gani, kwani amezindua Tamasha la siku tatu "Bata la Disemba - End of the year Carnival" lakini ili utokee lazima umpe Kura Moja, kisha yeye akupe siku tatu za Bata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…