Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza kuanzia sasa hakuna mgao wa maji ndani ya mkoa huo na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuelekeza nguvu kuimarisha miundombinu na miradi mikubwa ikiwemo Mabwepande.
Oktoba 24, 2022, RC Makalla alitangaza kuwepo...