Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya Uraia na Utawala Bora.
Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo mapema leo Machi 03, 2025 wakati alipokuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko hilo ili waendelee na biashara zao, kama walivyohakikishiwa na serikali.
Mtanda ameyasema hayo alipokutana na wafanyabiashara hao...
Timu ya Pamba ni kama imesha jitambua hasa mzunguko huu wa pili na kuna dalili inaweza kuepuka kushuka daraja na watu wa Mwanza waliopambana kuipandisha wakabaki na furaha.
Lakini sasa limebaki tishio la mlezi wenu RC Mtanda kutaka kuitumia timu hii ya wana Mwanza kwa manufaa yake binafsi na...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake.
Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ya Jamhuri ya Muumhano wa Tanzania inalitambua na kuthamini mchango wa Walinzi wa Jadi (Sungusungu) na kuwataka pia kufanya kazi kwa kuzingatia haki, kanuni na sheria za nchi.
Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo leo Februari 20, 2025 kwa nyakati...
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo,
Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
"Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
Wakati kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa ameshawanasa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakijaribu kuihujumu.
.
Kauli hiyo ya kushtua ya Mtanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.