rc nawanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Synonyms MP

    Tusiihushishe CCM na tuhuma za watu binafsi chombo cha kutoa haki ni mahakama RC Nawanda akajitetee Mahakamani

    Hizi ngojera za kila siku kuhusu huyu mtoto aliyedai kulawitiwa na RC Nawanda ifike wakati ziache kukihusisha Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake. Si-CCM Wala Serikali ya CCM wanaoagiza mwanachama au kiongozi yoyote kuvunja Sheria ndio maana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alimwondoa Nawanda...
Back
Top Bottom