Na Cathbert Kajuna - Kajunason Blog/Michuzi TV, Manyara.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga (kwanza kushoto) leo Januari 29, 2025 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Bw. Michael John Semindu aliyeteuliwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...