Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda ameandaa nyama kwa wakazi buree.
Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu.
==
Wachimbaji wadogo wa migodi ya dhahabu wilayani Bariadi wameaswa kutorubuniwa kwa namna yoyote vile na wanasiasa...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi akimueleza Meneja wa Tanroad Mkoa wa Simiyu Kusimamia Mradi na ukamilike kwa muda na kuzingatia Viwango na Ubora wa Mradi huo.
Pia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani, akiwaasa Wananchi kutunza na kulinda Mradi huo kwani ni Mali yao,Pia amewasisitiza kizidi...
Wakuu,
Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele.
Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dkt. Yahya Nawanda inatarajiwa kusomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza.
Kesi hiyo ya kulawiti namba 1883/2024, inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Erick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.