rc simiyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Simiyu apamba Mkesha wa Siku ya Wanawake kwa kuchana mistari mbele ya Makonda

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda ameandaa nyama kwa wakazi buree.
  2. Pre GE2025 RC Simiyu amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano

    Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu. == Wachimbaji wadogo wa migodi ya dhahabu wilayani Bariadi wameaswa kutorubuniwa kwa namna yoyote vile na wanasiasa...
  3. Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi akimueleza Meneja wa Tanroad Mkoa wa Simiyu Kusimamia Mradi na ukamilike kwa muda na kuzingatia Viwango na Ubora wa Mradi huo. Pia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani, akiwaasa Wananchi kutunza na kulinda Mradi huo kwani ni Mali yao,Pia amewasisitiza kizidi...
  4. Pre GE2025 RC Simiyu afanya matembezi ya kumuombea Rais Samia na Taifa. Chawa kazini kujihakikishia nafasi!

    Wakuu, Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele. Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
  5. Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29

    Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dkt. Yahya Nawanda inatarajiwa kusomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza. Kesi hiyo ya kulawiti namba 1883/2024, inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Erick...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…