rc tuhuma ulawiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Msemaji wa Polisi, Misime asema: Mwandishi akikamatwa kama anahitajika kwenye uchunguzi zaidi wataendelea kumshikilia

    Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime akizungumza katika Kongamano la Wanahabari, Jijini Dar es Salaam, Juni 19, 2024 anaelezea: Jukumu letu ni kulinda mali za Watu na mali zao, wakiwemo Waandishi wa Habari, pamoja na hivyo muhimu ni kufuata Sheria zinazoelekeza. Kuna miongozo na Kanuni juu...
  2. Pascal Mayalla

    Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

    Wanabodi Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa...
  3. Cute Wife

    LHRC yatoa tamko kulaani kitendo cha mwandishi kukamatwa, inasemekana ndiye wa kwanza kuripoti tukio la RC kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    TAARIFA KWA UMMA KUKEMEA UDHIBITI WA UHURU WA HABARI NA UNYANYASAJI WA WAANDISHI WA HABARI Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimepokea kwa masikitiko taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa habari, Bi. Dinna Maningo, aliyekamatwa nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara, Juni 13, 2024 saa mbili...
  4. JanguKamaJangu

    Mwandishi aliyeandika tuhuma za RC Simiyu adaiwa kukamatwa na Polisi

    Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024. Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu...
  5. chiembe

    Chuo Kikuu cha SAUT kwanini hatujasikia tamko lenu kulaani kitendo cha ukatili wa kingono kwa mwanafunzi wenu?

    Nilitarajia Chuo Kikuu cha SAUT ambacho kimetajwa sana katika mitandao kuhusu tukio la mmoja wa wanachuo, walau kiseme kaneno kamoja kuhusu jamii inayoishi hapo na maadili. Labda pengine kitendo kilichofanywa ni cha kawaida kwa wanafunzi wao. Wazazi wenye watoto hapo SAUT roho ziko juu juu...
  6. Nyendo

    Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

    Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi...
  7. Doctor Mama Amon

    Yahaya-Tumsime Scandal and a challenge of rehabilitating the victims of anal rape and protecting survivors in Tanzania: A Ministerial Policy Brief

    Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), Former Simiyu RC, the alleged perpetrator of anal rape against the SAUT female student called Tumsime Mathias Ngemela Ms. Tumsime Mathias Ngemela(21), the victim of alleged anal rape in Mwanza, on 02 June 2024. I. Abstract Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), the...
  8. F

    Mfanano wa kosa la aliyekuwa RC Simiyu, DED Mafia na aliyekuwa DC Hai, Haki itatendeka au kombe litafunikwa wanaharamu wapite?

    Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa. RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia...
  9. Dalton elijah

    MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari. Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo...
Back
Top Bottom