recently

  1. Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  2. A

    KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

    Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
  3. Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
  4. M

    Naombeni mnitajie kwaya zinazotamba kwa sasa

    Kwa upande Wangu this list is my favourite Kwa nyimbo zilizotoka recently Judikay - Man of Galilee Israel Mbonyi - Malengo. Israel Mbonyi - sikiliza. Israel Mbonyi - amenisamehe. AIC chang'ombe choir - elohim Moses Bliss - You are great Mercy Vhinwo - You do this one.
  5. Ajira za ualimu it might be opportunity Kwa mliomaliza vyuoni recently.

    a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535 All the best for all job seekers. Kindly share for others too.
  6. Msaada wa kupata Recent GIS Shapeline za Tanzania

    Wadau kwema, Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania. Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015. Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
  7. Thank God I got Employment recently, now I'm looking for Fiancee

    God over Everything Also God please give them hope patients and prisoners and to him nothing Imposssible. I'm 26 years old Muslim God fearing person Self-esteem Hard worker Government servant No kids No serious relationship Outlook Urefu Futi 5.8 Maji ya kunde Weights 68 Sifa za Mwanamke...
  8. INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…