red card

  1. kipara kipya

    Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  2. S

    Je, ile ilipaswa kuwa ni Red Card au Yellow Card?

    Katiba mchezo wa leo, beki wa Simba aliepwea kadi ya njano alistahili kadi ya njano au kadi nyekundu? Tujadili kwa uwazi na objectively ila hata kesho tuwe na uwezo wa kuhoji pale timu pinzani ikinufaika au kuathiruka na maamuzi kama ya leo.
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Sadio Mane deserve direct red card

    Sadio Mane only received a Yellow card for this tackle on Ivory Coast and Nottingham forest midfielder Ibrahim Sangare.
  4. JanguKamaJangu

    Wakati wa Penati, mchezaji akipewa Kadi Nyekundu, wapinzani nao wanatakiwa kupunguza mchezaji mmoja

    Mchezaji wa Timu A akioneshwa Kadi Nyekundu ya moja kwa moja wakati wa upigaji wa penati kwenye mechi ya kutafuta mshindi, utaratibu unatakiwa kufuatwa baada ya hapo ni mchezaji wa Timu B mmoja naye anatakiwa kutoka. Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) linaweka wazi kuwa Mchezaji wa Timu B...
Back
Top Bottom