red flag

  1. snipa

    Tether USDT scam project Kuna siku tutalia sana, Grok AI kaipa red flag kwamba haiamini lakini anataka ni iamini, Je tether ni scam project ya USA?

    Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox. Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni scam project Kwa ninavyo amini Mimi. Lakini Leo nikaona nichart na Grok AI ya marekani. Kwanza...
  2. Mshangazi dot com

    Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

    Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie. Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi kuendelea. Ladies, nini kilikutokea kwenye mahusiano kikafanya red light iwake kichwani na umuache...
Back
Top Bottom