Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi.
Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram...