Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW au BBC kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.
Huku kwetu sasa ni mipira tu kuanzia asubuhi mpaka...
Redio naskiliza kwaajili ya kupata au kukusanya habari mpya ili niifatilie kwa umakini hyo habari maana redio zetu wamejaa mbumbumbu wengi mno hawajui lolote wao wanaropoka tu hawafanyi analysis kabla ya kuja kuongea na watu wengi.
Hivi wanafikiri wasikilizaj wote ni wajinga kama wao? sio kwnye...
Maana nimeshachoka kusikiliza miziki ya hovyo na mpira
Mwenye hii comment kanigusa sana
Redio zinashindana kua na michezo ya kamari kila redio ina ina michezo ya kubahatisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.