Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW au BBC kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.
Huku kwetu sasa ni mipira tu kuanzia asubuhi mpaka...