redmi

  1. Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Xiaomi Redmi Note 11 Storage Gb128/6Gb Ram Camera ni balaa📸🔥🔥50MP ultra Wide /13MP Selfie Laini mbili Battery 🔋 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage) Simu iko clean Vibaya mno imetumika miezi minne, full boxed.
  2. Hello,, nahitaji xiaomi redmi note 12s

    Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
  3. Phone4Sale Nauza simu yangu, Xiami Redmi 13C

    Nauza XIAOMI REDMI 13C storage yake ni 128gb,ram 6gb, ina fingerprint pembeni, kila kitu chake ninacho, box receipt n.k na ina mwezi tu, iko poa na waranty kila kitu. nauza 200k tu, nipo mbezi magufuli iwahi faster 0697224996
  4. Phone4Sale REDMI 13C inauzwa 200K

    redmi 13C inauzwa bado imenyooka, gb 128, ram 6, imetumika miezi miwili,njoo nikupe risit na box lake. Bei 200k 0746407747 dar.
  5. Ni ipi tofauti ya simu za Redmi na Xiaomi?

    Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi Tofauti na...
  6. Phone4Sale Xiaomi Redmi 9T

    Habari ninauza simu ambayo inaitwa jina tajwa hapo juu , Specifications: 1..Internal memory 128GB , 4GB RAM, UFS 2.2 - 128GB 2..MAIN CAMERA Quad 48 MP, f/1.8, 26mm (wide), 1/2.0", 0.8µm, PDAF 8 MP, f/2.2, 120˚ (ultrawide), 1/4.0", 1.12µm 2 MP, f/2.4, (macro) 2 MP, f/2.4...
  7. Phone4Sale Brand New Redmi Note 12 Pro+ 5G

    Redmi Note 12 Pro+ Color: Blue RAM: 8GB Storage: 256GB Network: 5G Price: Tsh 750,000 Location: Kijitonyama Brand ipo sealed kabisa Whatsapp: 0714812151
  8. Phone4Sale Redmi 10C ina mwezi tu ipo sokoni bei ya Januari

    Hii nakupa na box lake haina tatizo hata kidogo waranti imebaki miezi 10 Sifa zake hizi Piga simu 0625547181
  9. Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  10. Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa...
  11. Xiaomi 12S Ultra ni moto wa kuotea mbali

    Xiaomi wameachilia chombo cha Xiaomi 12S Ultra ilipofika July, 09, 2022 Simu hii imeipita uwezo hata Samsung Galaxy S22 Ultra na bado kuna mtu humu nilimsikia anasema eti kwa Android simu ni Samsung na Google Pixel tu wakati hata Google Pixel 7 pro haifui dafu kwa Xiaomi 12S Ultra Hiyo hapo ju...
  12. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  13. Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

    Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
  14. Xiaomi redmi 10c gb128 inafaa kwa matumzi ya picha

    hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera pamoja battery
  15. Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

    Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16 Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma... Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
  16. Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  17. Phone4Sale Used Redmi 9C for sale

    Ram 3gb Rom 64gb Bei 270k. Nimetumia miezi 6, haina tatizo lolote. Iko na box lake. Ukihitaji njoo PM.
  18. Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

    Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
  19. Xiaomi redmi 9 za Tigo: Line za mitandao Mingine zinakua na performance sawa kimtandao kama Tigo (Unlocked)?

    Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo.. Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
  20. Phone4Sale Redmi Note 10

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version) Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 4 GB Condition: Used for 3 Months Battery: 5000Mah- 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 400,000 TZs (Negotiable) DM is Open for interested Buyers.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…