REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).
Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo ..
Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam...
Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google
Mechi n Azam vs YANGA
REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc
Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana
Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli
Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio”
Hayo ni maneno...
Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni.
Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho kilichosababisha Likaule kupandwa na jazba na kupigana na mwamuzi huyo.
Ikumbukwe mwamuzi huyo aliwahi...
Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika.
Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sana
Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu.
Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi.
Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa
Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports
KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports
Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United
SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani
Vs Singida Black Stars
Vs...
Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100%
.someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa?
Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni.
All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania.
Soma Pia...
Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
I will be short
Simba since community shield Refa anawabeba tu . Magoli yote ya offside na penalty feki amna kelele.
Leo mechi na yanga mmebebwa sana. Mnapoteza Refa ndo tatizo.
Akili za makolo sijui zipo wapi? Football usipo kuwa fair . Uwezi jua quality yako.
Leo yanga Kanyimwa penalty...
Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv
Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa.
Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha.
Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
Hii mechi ya ngao ya jamii tarehe 8 ingetakiwa TFF na bodi ya ligi wamlete refari kutoka nje ambaye ana uzoefu mkubwa ili kuepuka lawama na kasoro za upendeleo wa wazi kama wanavyofanyaa marefa wa ndani hasa Kayoko na Arajiga, inashindikana nini mbona mechi ya Al Ahly na Zamalek ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.