refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. Refa Arajiga hacheki na wowote

    Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo .. Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam...
  2. TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  3. Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  4. Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  5. Bondia azichapa na refa ulingoni

    Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni. Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho kilichosababisha Likaule kupandwa na jazba na kupigana na mwamuzi huyo. Ikumbukwe mwamuzi huyo aliwahi...
  6. Refa ashangilia goli la Yanga

    Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
  7. Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

    Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika. Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sana
  8. Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  9. Refa aliecheza mechi ya simba aondolewe achunguzwe...Tff msibebe wajinga kama hawa mtasababisha fujo

    Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
  10. Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

    Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs Tabora United SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani Vs Singida Black Stars Vs...
  11. Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

    Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
  12. FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  13. Refa alikuwa sahihi katika mchezo wa Simba vs mwarabu ..

    Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100% .someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
  14. S

    Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

    Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa? Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni. All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania. Soma Pia...
  15. TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  16. D

    Simba mechi 6 zote mnabebwa na Refa hamna kelele. Leo mbebwe na kupoteza kisha kelele?

    I will be short Simba since community shield Refa anawabeba tu . Magoli yote ya offside na penalty feki amna kelele. Leo mechi na yanga mmebebwa sana. Mnapoteza Refa ndo tatizo. Akili za makolo sijui zipo wapi? Football usipo kuwa fair . Uwezi jua quality yako. Leo yanga Kanyimwa penalty...
  17. Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  18. M

    Refa uliyechezesha game yetu Simba jana, hatukudai

    1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
  19. Refa apuyanga, awapa tuta jepesi mno Prison wakicheza dhidi ya Fountain Gate leo

    Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa. Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha. Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
  20. Nashauri mechi ya derby ichezeshwe na refa kutoka nje

    Hii mechi ya ngao ya jamii tarehe 8 ingetakiwa TFF na bodi ya ligi wamlete refari kutoka nje ambaye ana uzoefu mkubwa ili kuepuka lawama na kasoro za upendeleo wa wazi kama wanavyofanyaa marefa wa ndani hasa Kayoko na Arajiga, inashindikana nini mbona mechi ya Al Ahly na Zamalek ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…