refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Jean Jacques Nadala: Refa aliyedharauliwa na wachambuzi wa Bongo kuchezesha Kombe la Dunia, 2022

    Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia. Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside Pia...
  2. Mbowe kuachiwa Huru: Leo mshitaki, mshitakiwa na refa, wote wanasherehekea

    Michezo ya kisiasa huwa iko complex kiasi kwamba huzalisha conspiracies nyingi. Kwa bahati mbaya na kwa heshma ya msemo wa "the majority are always not right" huwa tunaangalia kile tu tunaona(patent). Mi kwa mtazamo wangu 1. Serkali na CCM kama chama tawala ndo washindi No moja katika sakata...
  3. Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
  4. Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
  5. Salima Mukansanga Refa wa kwanza mwanamke katika mashindano ya Afcon

    Picha: Salima Mukansanga Salima Mukansanga ameweka historia kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu nchini Cameroon, kwa kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kwenye mashindano ya wanaume. Mnyarwanda huyo mwenye umri wa miaka 33 alisimamia mchuano wa Afcon siku ya Jumatatu...
  6. Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  7. Kiongozi anatakiwa kuwa kama refa uwanjani

    Wakuu Leo naomba tupate elimu kidogo kwenye mada inayohusu nidhamu ya uongozi na wajibu. Kwenye nchi zetu za Kiafrika viongozi huwa wanajisahau sana wanapofika kwenye nafasi za uongozi kutokana ulimbukeni wa madaraka na mali na kusahau jukumu la uongozi. Kiongozi wa taifa inatakiwa afanye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…