Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI?
NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI.
Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu akawa hawezi hata kula, baadae akaja kupoteza fahamu.
Tukamleta hapa Temeke kapimwa wanasema ana...
The Tanga Regional Referral Hospital (BOMBO) would like to announce job opportunities for the following professions:
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24/02/2024
Maombi yote yawasilishwe masijala ya Hospitali au kupitia barua pepe barua@tangarrh.go.tz
MFUMO WA RUFAA YA MATIBABU ni mfumo ambao unamwezesha mgonjwa kutoka kituo kimoja kwenda kigine kwaajili ya kujipatia Matibabu, kulingana na ukubwa wa tatizo, au uhaba wa wataalum , au kulingana na kutokuwepo kwa vifaa vya kutosha katika kituo husika.
Rufaa ya Matibabu hutolewa kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.