Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI?
NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI.
Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu akawa hawezi hata kula, baadae akaja kupoteza fahamu.
Tukamleta hapa Temeke kapimwa wanasema ana...