reforms election

Electoral reform is a change in electoral systems which alters how public desires are expressed in election results.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Pre GE2025 Kwa muda uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu, kauli ya "No reform, No election" ni sawa na kufua kanzu ya kwendea msikitini ijumaa saa 6 na nusu mchana

    Hakuna mahesabu yoyote ambayo ya naweza kutoa jibu kwamba kwa muda tulio nao, nchi inaweza kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba. Tunajua Lissu na genge lao wana kiu kali ya madaraka wakiamini watakuwa matajiri kwa kutumia fedha za umma. Lakini huwasikii wakiongelea maendeleo ya mwananchi. Wao...
  2. muafi

    Pre GE2025 CHADEMA watumie busara "NO REFORM, NO ELECTION" Haiwezekani muda umeshatuacha!

    Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge, Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani? Mda umebaki kidogo sana hii kitu tumeshachelewa haiwezekani kabisa, hili vuguvugu ilipaswa lianze tangu...
Back
Top Bottom