Hakuna mahesabu yoyote ambayo ya naweza kutoa jibu kwamba kwa muda tulio nao, nchi inaweza kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba.
Tunajua Lissu na genge lao wana kiu kali ya madaraka wakiamini watakuwa matajiri kwa kutumia fedha za umma. Lakini huwasikii wakiongelea maendeleo ya mwananchi. Wao...
Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge,
Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani?
Mda umebaki kidogo sana hii kitu tumeshachelewa haiwezekani kabisa, hili vuguvugu ilipaswa lianze tangu...