Oblisco Capitale ni jengo (Tower) inayojengwa kuwa mojawapo ya alama za Jiji la Cairo. Mnara wa Oblisco Capitale unaotarajiwa kuwa urefu wa mita 1000 (KM 1) kwenda hewani utakamilika ifikapo mwaka 2030 utakuwa mkubwa na mrefu zaidi zaidi ya ule uliopo Burj Khalifa nchini Dubai, hivyo kuufanya...
Ilikuwa kama masihara hivi Hayati Magufuli alipoahidi atajenga daraja la Busisi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 3. JPM kama alivyoahidi ujenzi ulianza mara moja.
Hapo juu ni ujenzi wa daraja la Busisi likiendelea kujengwa na sasa ujenzi wake umezidi 50%.
Pongezi za dhati zimwendee Rais Samia...
Uswizi inatazamiwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na jengo refu zaidi la makazi litakalojengwa kwa mbao.
Mradi huo uliopewa jina la Rocket & Tigerli, utajumuisha majengo manne likiwemo moja litakalokuwa na mnara wa urefu wa mita 100 (futi 328).
Ujenzi wa jengo hilo unatazamiwa...
Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa.
Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
Sanamu linapatikana Nchini Senegal lenye urefu wa Mita 49 ilitengenezwa Korea Kaskazini. Linajulikana kama ‘The African Renaissance’ ambapo lilizinduliwa Aprili 2010 na aliyekuwa Rais kwa wakati huo, Abdoulaye Wade
Sanamu hii kubwa ya shaba iliyopo Dakar ilikusudiwa kuashiria ushindi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.