Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo.
Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa, kama ndugu tulifurahi wao kulipiwa ada, lakini kurejeshewa ada ni haki Yao, lakini imepita zaidi ya...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu!
Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa nadaiwa na Bodi ili nifute deni kisha nikaomba kiasi ninachodaiwa.
Kilichotokea wakanipa balance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.