Chuo Cha Duce ( Dar es salaam University College of Education)
Department ya fedha inawasumbua wanafunzi wanaodai refund.
Refund hyo ni pesa ambazo wanafunzi wanapaswa kurudishiwa baada ya wao kulipa pesa kama ada ya masomo nk. Kwa chuo na hali ya kuwa serikali imeidhinisha walipiwe kama...